Posts

Showing posts from May, 2018

B Chedde Blezze VINONO Official Video BY DRAMATIC MUSIC MEDIA

Image

Mbwana samatta aipeleka KRC GENK europa league

Image
KRC Genk ya Ubelgiji timu anayochezea Mtanzania Mbwana Samata Usiku   wa jana Imefanikiwa kutinga Katika Michuano ya Europa League Baada ya Kupata Ushindi wa Magoli 2-0 Dhidi ya Zulte-Weregem. Katika Mchezo huo Ilichukua Dakika 17 tu Samata Kuifungia timu yake Goli la Kuongoza na Goli la Pili likifungwa na Uronen Kunako Dakika ya 28. Mpaka Mpira Unamalizika Genk 2-0 Zulte-Weregem. # Samata #samatta77

Mwanafunzi wa chuo kikuu sauti mbeya ajinyonga baada ya team yake ya leverpool kufungwa

Image
Mwanafunzi wa mwaka wa pili wa chuo kikuu cha Mt.Augustino Tawi la Mbeya Moses Mashaka ambaye alikuwa Shabiki wa Damu wa Club ya Liverpool anadaiwa kujinyonga baada ya Timu yake ya Liverpool kufungwa bao 3-1 dhidi ya Club Bingwa Balani Ulaya Real Madrid Hapo Jana. Baadhi ya Mashuhuda wameeleza kuwa Mashaka alikuwa pia akijihusisha na mchezo wa kamali maarufu kama Betting na kwamba inawezekana ikawa ndio sababau ya kunyinyonga kwake baada ya Timu yake Kufungwa.

Nimeiona fainali yenye sura tatu (Realmadrid vs liverpool)

Image
Na @oscsarnickson20   Katika mchezo wa jana uliopigwa nchini ukrain ni fainali iliyogawanyika katika sehemu kuu tatu ndipo mchezo ukamalizika Sehemu ya kwanza ni mohamed salah on the pitch kwa maana ya ndani ya mchezo sehemu ya pili ni mohamed salah off the pitch or out of the pitch na sehemu ya tatu Ni Gareth bale sabstute (Mohamedsalah on the pitch) Wakati Mohamed salah alipokuwepo kwenye pitch alikuwa nafanya ball touches zenye tija ambazo zilikuwa zina tengeneza tention kwenye defence ya Madrid na kuwafanya free defenders role kama Marcelo kushindwa kujiachia Kurole na kupiga kross nyingi .....na pia salah alipokuwepo uwanjani liverpool walimuwa na confidence ya kupata bao muda wowote na madrid walikuwa wanaroose confidance kutokana na ubora wake hivyo walikuwa wanacheza kwa tahadhari kubwa sana   (Mohamed salah off pitch,out of pitch)    Baada ya mohamed salah kupata injury ndani ya first half kisaiklojia team nzima ya liverpool ikapata shida na ikiwa upa...

Record zilizovunjwa kwenye mchezo wa jana fainali ya uefa champions league

Image
REAL MADRID MABINGWA WA UEFA 2017/18. -Real Madrid ni timu ya kwanza kushinda taji la Uefa Champions League mara tatu mfululizo (2016, 2017, 2018). -Karim Benzema amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga katika fainali kutoka Ufaransa mara ya mwisho mchezaji kutoka ufaransa kufunga katika fainali alikuwa Zidane mwaka 2002. -Karim Benzema ameifunga magoli 4 Liverpool katika Uefa Champios League sawa na Didier Drogba. -Karim Benzema amefikisha magoli 56 na kumfikia Ruud Van Nistelrooy nj wachezaji watatu (Ronaldo, Messi, Raul) tu ambao wanamzidi Benzema ya kufunga magoli mengi ya Uefa . -Sadio Mane  amefikisha magoli 20 msimu huu sasa  Salah, Firmino na Mane wamefunga magolu 20+ msimu huu ndani ya Liverpool ni msimu wa 1981/82  wachezaji watatu (Rush, Daglish, McDermott) wa  liverpool walifanikiwa kufunga magoli 20+. -Sadio Mane amekuwa mchezaji wa kwanza kutoka Senegal kufunga goli katika Fainali ya Uefa -Gareth Bale ametumia Sekunde 122 uwanjani kufunga goli baada y...

Danny atwaa tuzo ya mfungaji bora

Image
-Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba, Danny Sserunkuma ametwaa tuzo ya mfungaji bora wa ligi kuu ya Uganda (Azam Premier League) baada ya kufanikiwa kufunga magoli 17 na kuisaidia klabu yake ya Vipers Sc kuwa mabingwa wapya wa ligi kuu ya Uganda. -Sserunkuma alifunga magoli 17 akifuatiwa na Nelson Senkatuka wa Bright Stars fc aliyefunga magoli 15 huku klabu yake ya Vipers Sc wameibuka mabingwa wapya wa ligi kuu ya Uganda (Azam Premier League) baada ya kumaliza wakiwa na pointi 65, nafasi ya Pili ni KCCA waliomaliza na pointi 61 na wa tatu ni Sc Villa waliomaliza na pointi 55.

Jinsi ya kutambua kama simu yako imehakiwa ama la!!

Image
*JINSI YA KUJUA KAMA SIMU/LINE YAKO INATUMIKA/INAONWA NA MTU MWINGINE* piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama. Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee kutumia namba yako piga ##21# ili kuondoa *monitoring device* kwenye namba yako. Watumie na wengine kuwajulisha matukio haya.

manchester city wanamnyatia jorginho

uongozi wa clubu ya manchester city umeandaa kitita cha euro mill 52 ili kunasa saini ya kiungo wa napoli jorginho mwenye umri wa miaka 26

Leroy sane aja kivingine

Image
Winga Wa klabu ya Manchester city na team ya taifa ya ujerumani Leroy sane ameamua kubadirisha muonekano wake Wa nywele mahususi kwa ajili ya michuano ya kombe la dunia ambapo yupo miongoni mwa wachezaji wanaounda kikosi cha team ya taifa ya ujerumani

ULIMWENGU AMWAGA WINO AL HILAL YA SUDAN

Image
Mwanandika Wa kimataifa Wa Tanzania Thomas ulimwengu amesaini kandarasi ya miaka mitatu kuitumikia klabu ya al hilal ya Sudan

WABABE WA YANGA TOWNSHIP WATWAA UBINGWA

-Timu ya Township Rollers imetwaa ubingwa wa ligi kuu Botswana (BTC Premier League) mara tatu mfululizo baada ya jana kuifunga timu ya Extension Gunners Sc kwa magoli 2-0 magoli yaliyofungwa na Kaone Vanderwesthuizen na Segolame Boy. -Hilo ni taji la 15 la ligi kuu ya Botswana (BTCPL) pia msimu huu imeshinda na Kombe la FA ya Botswana Pia.

UNAI EMILY RASMI MANAGER MPYA ARSENAl

Image
Aliyekuwa kocha Wa club ya PSG ya ufaransa sasa rasmi ndiye mkufunzi Mpya Wa club ya arsenal the gannus kumrithi mzee arsen wenger

Yajayo yanafurahisha

CAF YAWABADILISHIA RATIBA SIMBA SC. -Shirikisho la soka la Africa (CAF) limefanya mabadiliko ya kalenda ya michuano inayoandaliwa na CAF ile ya Caf Champions League na Caf Confederation CUP michuano  hiyo ilikuwa inafanyika mwezi wa Pili (february) hadi Mwezi wa kumi na moja (November) -Sasa badala ya February hadi November  michuano hiyo itakuwa inachezwa kuanzia mwezi wa August hadi May kama michuano ya ulaya inavyoachezwa sababu kubwa waliyosema CAF michuano hiyo ichezwe wakati ligi za nchi husika zikiwa zinachezwa. -Ila msimu huu Michuano hiyo itachezwa kuanzia mwezi December mara baada ya kumalizika mashindano ya mwaka huu yanayoisha mwishoni mwa mwezi November. Baada ya kuisha mashindano ya msimu huu yataanza December 2018 na yataisha May 2019 pia mechi zake  zitakuwa zinachezwa katikati ya wiki badala ya wikendi. -Babadiliko hayo ya kalenda ya CAF pia yamebadilisha michuano ya Afcon (Africa Cup of Nation) kuanzia msimu ujao michuano hiyo ilikuwa inachezwa mwezi...

MAURO CHANZO CHA KUACHWA TIMU YA TAIFA YA ARGENTINA

*Story ya Mauro Icardi, Wanda Nara,Maxi Lopez na messi* =======           ======= *Yusto Matinez na Matereka Junior.* 》Wanda Nara na Maxi Lopez walianza mahusiano mwaka 2006 walipokutana huko Beunos Aires kama nitakuwa nimeandika vema, Argentina wakati Maxi alipokuwa anaanza kucheza mpira katika timu ya Rosario Central anapotoka Lionel Messi. Wakati huo Nara alikuwa ni mtangazaji wa Tv na pia ni mbunifu wa mavazi hali kadhalika ni Muigizaji wa Tamthilia, wawili hawa walifanikiwa kufunga ndoa mnamo mwaka 2008 huko huko Argentina. 》Kwenye ndoa walibahatika kupata watoto watatu wote wa kiume Valentino, Costantino na Benedicto mapenzi yalikuwa motomoto huku jamaa akichezea Sampdoria na Timu ya Taifa ya Argentina wakat huo ikiongozwa na Diego Maradona. Maisha yalikuwa mazuri sana. 》Ilipofika mwaka 2011 Mauro Icardi akasajiliwa timu ya Vijana akitokea Barcelona na mnamo 2012 akawepo kwenye kikosi cha kwanza cha Sampdo...

MBEYA CITY YABADIRISWA

#Nkembotv TAARIFA KWA UMMA KLABU YA MBEYA CITY IMEKUWA KAMPUNI Timu ya Mbeya City inayomilikiwa na Halmashauri ya jiji la Mbeya inayoshiriki ligi kuu ya Vodacom imebadirisha mfumo wake wa uendeshaji na sasa ni Kampuni. Kampuni hii ambayo imesajiliwa na msajiri wa makampuni na biashara nchini BRELA chini ya sheria ya makampuni (Companies Act,2002) tarehe 26.01.2018 inaitwa MBEYA CITY FOOTBALL CLUB PUBLIC LIMITED COMPANY (Mbeya City FC PLC) kwa hati namba 140785 na imesajiliwa Posta Mbeya kwa anuani namba 663. Kampuni hii inamatarajio ya kukusanya mtaji wa shilingi 100 Bilioni. Katika mfumo huu Halmashauri ambaye ni mmiliki ataamua ni sehemu gani(asilimia) ya hisa atakazobaki nazo na zingine zitapelekwa kwenye soko la mitaji ili kutafuta wamiliki/wabia wengine. Hisa hizo zitakuwa wazi kwa watu wote waliopo ndani na nje ya nchi. Bodi ya wakurugenzi wa kampuni na menejimenti ya timu itaundwa upya baada ya wanahisa wote kupatika...