Mbwana samatta aipeleka KRC GENK europa league
KRC Genk ya Ubelgiji timu anayochezea Mtanzania Mbwana Samata Usiku wa jana Imefanikiwa kutinga Katika Michuano ya Europa League Baada ya Kupata Ushindi wa Magoli 2-0 Dhidi ya Zulte-Weregem.
Katika Mchezo huo Ilichukua Dakika 17 tu Samata Kuifungia timu yake Goli la Kuongoza na Goli la Pili likifungwa na Uronen Kunako Dakika ya 28.
Mpaka Mpira Unamalizika Genk 2-0 Zulte-Weregem.
# Samata #samatta77
Comments
Post a Comment