Danny atwaa tuzo ya mfungaji bora

-Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba, Danny Sserunkuma ametwaa tuzo ya mfungaji bora wa ligi kuu ya Uganda (Azam Premier League) baada ya kufanikiwa kufunga magoli 17 na kuisaidia klabu yake ya Vipers Sc kuwa mabingwa wapya wa ligi kuu ya Uganda.

-Sserunkuma alifunga magoli 17 akifuatiwa na Nelson Senkatuka wa Bright Stars fc aliyefunga magoli 15 huku klabu yake ya Vipers Sc wameibuka mabingwa wapya wa ligi kuu ya Uganda (Azam Premier League) baada ya kumaliza wakiwa na pointi 65, nafasi ya Pili ni KCCA waliomaliza na pointi 61 na wa tatu ni Sc Villa waliomaliza na pointi 55.

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kutambua kama simu yako imehakiwa ama la!!

MAURO CHANZO CHA KUACHWA TIMU YA TAIFA YA ARGENTINA

Mwanafunzi wa chuo kikuu sauti mbeya ajinyonga baada ya team yake ya leverpool kufungwa