*JINSI YA KUJUA KAMA SIMU/LINE YAKO INATUMIKA/INAONWA NA MTU MWINGINE* piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama. Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee kutumia namba yako piga ##21# ili kuondoa *monitoring device* kwenye namba yako. Watumie na wengine kuwajulisha matukio haya.
Mwanafunzi wa mwaka wa pili wa chuo kikuu cha Mt.Augustino Tawi la Mbeya Moses Mashaka ambaye alikuwa Shabiki wa Damu wa Club ya Liverpool anadaiwa kujinyonga baada ya Timu yake ya Liverpool kufungwa bao 3-1 dhidi ya Club Bingwa Balani Ulaya Real Madrid Hapo Jana. Baadhi ya Mashuhuda wameeleza kuwa Mashaka alikuwa pia akijihusisha na mchezo wa kamali maarufu kama Betting na kwamba inawezekana ikawa ndio sababau ya kunyinyonga kwake baada ya Timu yake Kufungwa.
*Story ya Mauro Icardi, Wanda Nara,Maxi Lopez na messi* ======= ======= *Yusto Matinez na Matereka Junior.* 》Wanda Nara na Maxi Lopez walianza mahusiano mwaka 2006 walipokutana huko Beunos Aires kama nitakuwa nimeandika vema, Argentina wakati Maxi alipokuwa anaanza kucheza mpira katika timu ya Rosario Central anapotoka Lionel Messi. Wakati huo Nara alikuwa ni mtangazaji wa Tv na pia ni mbunifu wa mavazi hali kadhalika ni Muigizaji wa Tamthilia, wawili hawa walifanikiwa kufunga ndoa mnamo mwaka 2008 huko huko Argentina. 》Kwenye ndoa walibahatika kupata watoto watatu wote wa kiume Valentino, Costantino na Benedicto mapenzi yalikuwa motomoto huku jamaa akichezea Sampdoria na Timu ya Taifa ya Argentina wakat huo ikiongozwa na Diego Maradona. Maisha yalikuwa mazuri sana. 》Ilipofika mwaka 2011 Mauro Icardi akasajiliwa timu ya Vijana akitokea Barcelona na mnamo 2012 akawepo kwenye kikosi cha kwanza cha Sampdo...
Comments
Post a Comment