Nimeiona fainali yenye sura tatu (Realmadrid vs liverpool)
Na @oscsarnickson20
Katika mchezo wa jana uliopigwa nchini ukrain ni fainali iliyogawanyika katika sehemu kuu tatu ndipo mchezo ukamalizika
Sehemu ya kwanza ni mohamed salah on the pitch kwa maana ya ndani ya mchezo sehemu ya pili ni mohamed salah off the pitch or out of the pitch na sehemu ya tatu Ni Gareth bale sabstute
(Mohamedsalah on the pitch)
Wakati Mohamed salah alipokuwepo kwenye pitch alikuwa nafanya ball touches zenye tija ambazo zilikuwa zina tengeneza tention kwenye defence ya Madrid na kuwafanya free defenders role kama Marcelo kushindwa kujiachia Kurole na kupiga kross nyingi .....na pia salah alipokuwepo uwanjani liverpool walimuwa na confidence ya kupata bao muda wowote na madrid walikuwa wanaroose confidance kutokana na ubora wake hivyo walikuwa wanacheza kwa tahadhari kubwa sana
(Mohamed salah off pitch,out of pitch)
Baada ya mohamed salah kupata injury ndani ya first half kisaiklojia team nzima ya liverpool ikapata shida na ikiwa upande wao kuna mtu anapungua anayejua kutumia nafasi nakupressurize chance anapokuwa na defender lakini upande wa madrid wakatake advantage na pressure ikapungua wakaanza kufunguka na free role movement zikaanza kufanyika kutokana na kukosekana kwa mohamed salah ambaye amekuwa mtu hatare sana hivyo injury ya mo salah ikawa advantage kwa madrid
(Garerh bale substute)
Na huyu ndie mtu alikuwa banch na mabao yake na ni mchezaji wa kwanzakufunga mabao 2 akitokea sab kwenye mchezo wa fainali ya uefa it was tactical substute ambayo zidane aliifanya ilikutumia nguvu nq kasi kubwa kuforce upatikanaji wa mabao na akafanikiwa kwa hilo follow me on instagram oscarnickson20
Comments
Post a Comment