Mwanafunzi wa chuo kikuu sauti mbeya ajinyonga baada ya team yake ya leverpool kufungwa
Mwanafunzi wa mwaka wa pili wa chuo kikuu cha Mt.Augustino Tawi la Mbeya Moses Mashaka ambaye alikuwa Shabiki wa Damu wa Club ya Liverpool anadaiwa kujinyonga baada ya Timu yake ya Liverpool kufungwa bao 3-1 dhidi ya Club Bingwa Balani Ulaya Real Madrid Hapo Jana.
Baadhi ya Mashuhuda wameeleza kuwa Mashaka alikuwa pia akijihusisha na mchezo wa kamali maarufu kama Betting na kwamba inawezekana ikawa ndio sababau ya kunyinyonga kwake baada ya Timu yake Kufungwa.
Ni aina nyingine ya utaahira!
ReplyDeleteMh ni kwel
ReplyDelete