WABABE WA YANGA TOWNSHIP WATWAA UBINGWA
-Timu ya Township Rollers imetwaa ubingwa wa ligi kuu Botswana (BTC Premier League) mara tatu mfululizo baada ya jana kuifunga timu ya Extension Gunners Sc kwa magoli 2-0 magoli yaliyofungwa na Kaone Vanderwesthuizen na Segolame Boy.
-Hilo ni taji la 15 la ligi kuu ya Botswana (BTCPL) pia msimu huu imeshinda na Kombe la FA ya Botswana Pia.
Comments
Post a Comment