REAL MADRID MABINGWA WA UEFA 2017/18. -Real Madrid ni timu ya kwanza kushinda taji la Uefa Champions League mara tatu mfululizo (2016, 2017, 2018). -Karim Benzema amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga katika fainali kutoka Ufaransa mara ya mwisho mchezaji kutoka ufaransa kufunga katika fainali alikuwa Zidane mwaka 2002. -Karim Benzema ameifunga magoli 4 Liverpool katika Uefa Champios League sawa na Didier Drogba. -Karim Benzema amefikisha magoli 56 na kumfikia Ruud Van Nistelrooy nj wachezaji watatu (Ronaldo, Messi, Raul) tu ambao wanamzidi Benzema ya kufunga magoli mengi ya Uefa . -Sadio Mane amefikisha magoli 20 msimu huu sasa Salah, Firmino na Mane wamefunga magolu 20+ msimu huu ndani ya Liverpool ni msimu wa 1981/82 wachezaji watatu (Rush, Daglish, McDermott) wa liverpool walifanikiwa kufunga magoli 20+. -Sadio Mane amekuwa mchezaji wa kwanza kutoka Senegal kufunga goli katika Fainali ya Uefa -Gareth Bale ametumia Sekunde 122 uwanjani kufunga goli baada y...